SEHEMU YA KWANZA: Jina la chuo. Bofya kwenye duara lenye uchaguzi wako.




































SEHEMU YA PILI: Bofya kwenye duara lenye uchaguzi wako.

UFUNGUO:
A - Bora Sana, B - Bora, C - Wastani, D - Dhaifu, na E - Dhaifu Sana.

1. MAFANIKIO YA MWANACHUO.

a) Ubora wa ujuzi, maarifa na mtazamo chanya kuhusu kazi na kada ya ualimu.







b) Ubora wa ufaulu wangu katika masomo kwenye mitihani na majaribio mbalimbali.







c) Nidhamu ya fedha, moyo wa ujasiliamali na uwezo wa kujiajiri baada ya kuhitimu.







d) Utayari wa kutumia fursa za mabadiliko ya tabia nchi, utandawazi na utengamano.







Pendekeza mkakati wa kuboresha zaidi mafanikio ya mwanachuo.



2. UBORA WA UFUNDISHAJI KWA UJIFUNZAJI NA UPIMAJI MZURI.

a) Ubora wa ufundishaji kwa kuzingatia ratiba ya masomo na uwezo wa wakufunzi.







b) Ubora wa zana na mbinu shirikishi wanazotumia wakufunzi katika ufundishaji.







c) Ubora wa utungaji na usahihishaji wa mitihani na majaribio katika kutujengea ujuzi.







d) Matumizi bora ya vifaa na mifumo ya TEHAMA katika taaluma na shughuli mbalimbali.







Pendekeza mkakati wa kuboresha ufundishaji.



3. UBORA WA MTAALA KUKIDHI MAHITAJI YA WANACHUO.

a) Ubora wa Mtaala wa ualimu katika kuandaa walimu bora na mahiri.







b) Ushiriki katika miradi mbalimbali ya uzalishaji mali ili kutuandaa wanachuo kujitegemea.







c) Ubora wa mazoezi ya ualimu kwa vitendo ili kutuandaa kwa majukumu ya Kiualimu.







d) Uwepo wa nakala za kutosha za mitaala, mihtasari na vitabu vya masomo mbalimbali.







Pendekeza Mkakati wa Kuboresha Mtaala.



4. UBORA WA UONGOZI NA UTAWALA KATIKA USIMAMIZI WA UJIFUNZAJI NA RASILIMALI ZA CHUO.

a) Ubora wa Uongozi na utawala katika kutatua changamoto kwa wakati.







b) Ubora wa Uongozi na utawala katika kusimamia ufundishaji na ujifunzaji thabiti.







c) Uwazi, uwajibikaji na ushirikishaji wa uongozi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu.







d) Ushiriki wa serikali ya wanachuo katika kulinda na kutetea haki na maslahi ya wanachuo.







Pendekeza Mkakati wa Kuboresha Uongozi na Utawala.



5. UBORA WA MAZINGIRA NA ATHARI ZAKE KATIKA USTAWI, AFYA NA USALAMA WA MWANACHUO.

a) Uwepo wa uzio na ulinzi thabiti kwaajili ya usalama wa wanachuo na mali zao.







b) Uwepo wa uadilifu, haki na usawa kwa wakufunzi wanapotoa huduma kwa wanachuo.







c) Ubora wa lishe, maji safi na salama, na ushauri nasaha kwa wanachuo.







d) Usawa wa kijinsia na miundo mbinu wezeshi kwa wanachuo wenye mahitaji maalum.







Pendekeza Mkakati wa Kuboresha mazingira na ustawi.



6. USHIRIKI WA JAMII

a) Ubora wa ushiriki wa chuo katika shughuli mbalimbali za kijamii ndani na nje ya chuo.







b) Ubora wa vikao kwaajili ya kutoa taarifa mbalimbali kwa wanachuo na wazazi.







c) Ubora wa uhusiano na ushirikiano na jamii inayokizunguka chuo.







d) Uwepo wa mahusinao rafiki, amani na upendo baina ya uongozi, wanachuo na wakufunzi.







Pendekeza Mkakati wa Kuboresha Ushiriki wa jamii.